The House of Favourite Newspapers

WEMA AKIRI: Makundi Yameniharibu, Nimefeli, Siongozani Nao Tena – Video

Staa wa filamu bongo Wema Isaac Sepetu Siku ya Tarehe 15 April alipopewa nafasi ya kuongea mbele ya wadau walioudhuria kongamano la waigizaji aliiongea mambo mengi sana mojawapo ni kuhusiana na sababu ya matatizo yaliyo mpata.

Comments are closed.