Wema: Deni Tulilonalo ni kwa Watanzania tu

Wema Sepetu akiwa lokesheni.

Na Salum Milongo/GPL

STAA wa filamu na malkia wa mtandao Bongo, Wema Abraham Sepetu ‘Maddam’, amewafungukia wasanii walioandamana Kariakoo wakidai kuwa filamu zao haziuzi kutokana na mfumo wa usambazi wa kazi zao uliopo jijini Dar.

Gabo Zigamba.

Madai hayo yamezuia mijadala kila kona ya jiji na nje ya Dar es Salaam. Wema amechapisha katika ukurasa wake wa Instagram na ujumbe unaosomeka hivi:

“Deni tulilonalo kwa Watanzania tu na vingine.”

Wema Sepetu.

Aisha, msanii wa muziki wa kizazi kipya Nikki wa Pili naye alichapisha ujumbe unaofanania na huo huku wote kwa pamoja wakisisitiza ubunifu katika kazi za sanaa na vinginevyo.

Picha na ujumbe wa Wema mtandaoni.

Shinda Nyumba; Washindi wa Pikipiki, Televisheni, Simu Walivyokabidhiwa


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment