The House of Favourite Newspapers

Wema: Hata Niikishi Charambe Haiwahusu

0

STAA filamu Bongo Muvi, Wema Sepetu amefunguka kuwa watu wanamzonga kwa maneno kwa sababu anakaa Mtoni Kijichi wamuache maana hata akiishi Charambe haiwahusu.

 

Akizungumza na MIKITO NUSUNUSU, Wema amesema kuwa, watu wajifunze wasiishi kupitia mitandao ya kijamii itawaharibu sana kwa sababu kila mtu ana haki ya kukaa anapopapenda ili mradi kuwe na mahitaji muhimu.

 

“Hata nikihamia Charambe haiwahusu maana sio vyema kufuatilia maisha ya ndani ya mtu binafsi kwa sababu kila mtu ana haki ya kukaa anapopapenda na kuhisi ana amani na furaha aitakayo hivyo watu waniache kidogo niendelee na maisha yangu,” alisema Wema.

Leave A Reply