Wema Sepetu Alamba Shavu Lingine Filamu ya Heaven Sent (Video)
Siku chache baada ya Wema Sepetu kulamba tuzo mbili katika hafla ya utoaji wa tuzo za Sinema Zetu, mambo yanaonekana kumnyookea ambapo sasa amelamba shavu jingine kutoka Azam TV, ya kuitoa kazi yake katika mfumo wa DVD ambapo itakuwa ikipatikana kwa urahisi zaidi nchi nzima.
Comments are closed.