The House of Favourite Newspapers

Wema Sepetu Azindua Filamu Yake Kwa Kishindo Mlimani City, Dar (Video)

0
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ akizungumza na wanahabari kabla ya kuzindua muvi yake Heaven Sent Premiere katika Ukumbi wa Mlimani City, jana.
Mama mzani wa Wema Sepetu akizungumza na wanahabari.
 
Wema Sepetu akiwa na Idris Sultan. 
Mtangazaji wa Global TV Online, Kelvin Shayo akifanya mahojiano na Aunty Ezekiel.
Muonekano wa Ukumbi wa Mlimani City kwa ndani kabla ya kuzinduliwa muvi ya Heaven Sent Premiere.
Wadau mbalimbali wakiwa ndani ya ukumbi.

BEAUTIFUL ONYINYE, Wema Sepetu ‘Madam’ jana amezindua filamu yake ya Heaven Sent Premiere katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Filamu yake mpya amewashirikisha mastaa mbalimbali wa filamu akiwemo Gabo Zigamba. Mrembo huyo alitua katika viwanja vya Mlimani City akiwa bega kwa bega na aliyekuwa mpenzi wake, Idris Sultan.

Mashabiki kibao walijitokeza kumuunga mkono Wema ambapo walionekana wakimshangilia  baada ya kumuona akiwa na Idris huku wakiwatakia maisha mema ya urafiki wao.

Leave A Reply