The House of Favourite Newspapers

Wema: Diamond Tunaongea, Sijam-follow Instagram – Video

0

MUIGIZAJI  nyota wa Bongo Movie, Wema Sepetu, jana Februari 21, 2020,   amesema msanii Diamond Platnumz ni rafiki yake na watu wasitafsiri tofauti wanapoona hajawahi kuwa na urafiki katika mtandao wa kijamii wa Instagram wakati akiingia makubaliano na kiwanda cha rasta  cha Angel kuwa balozi wa bidhaa zao.

 

Wema amesema suala la ‘kuto-mfollow’ Diamond katika mtandao huo ni makubaliano yao tangu walipokuwa na mahusiano.

 

Kuhusu uhusiano wake na mkali huyo wa Bongofleva, Wema amesema hawana ugomvi wowote, “kuna wakati hata tulitaka kuwa na kipindi katika televisheni ya Wasafi, kipindi ambacho tungefanya kwa kushirikiana mimi, Anti Ezekiel na Zamaradi Mketema, lakini yakatokea ya kutokea kikayeyuka.”

Leave A Reply