The House of Favourite Newspapers

Wema Sepetu: Sijawahi kutoka kimapenzi na Mkongo

1

ec76b9db1b9720bd4b93f200ffa70ff5

Apocalypse Bella anayedaiwa kutoka na Wema Sepetu.

WEMA_SEPETU712.jpg

Staa wa Bongo, Wema Isaac Sepetu.

Alichokijibu Staa wa Bongo, Wema Isaac Sepetu baada ya kudaiwa kutoka kimapenzi na mwanamme Mkongo  anayejulikana Instagram kwa jina la Apocalypse Bella .

” Sijawahi na sitowahi kuwa na mwanaume Mcongo wa aina yoyote ile… Sasa nashangaa watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu… Im Tired… Huyo apocalypse sijui kitu gani aint my man… I only know him as a friend… So please guys…. Niacheni kidogo tafadhal… Alam-siq…!!!🙏🏽🙏🏽🙏🏽 And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa na mtu sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart… Mwanaume wangu nadhani anajulikana… Sasa endeleeni kumpa huyo baba attention sababu yeye nako naona kashaona ni kamchezo kakupatia followers… Na nyie mnampa airtime ya kutosha…. So anaendelea… Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira… But nakaa tu kimya… This is too much now…!

Sijawahi na sitowahi kuwa na mwanaume Mcongo wa aina yoyote ile… Sasa nashangaa watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu… Im Tired… Huyo apocalypse sijui kitu gani aint my man… I only know him as a friend… So please guys…. Niacheni kidogo tafadhal… Alam-siq…!!!🙏🏽🙏🏽🙏🏽 And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa na mtu sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart… Mwanaume wangu nadhani anajulikana… Sasa endeleeni kumpa huyo baba attention sababu yeye nako naona kashaona ni kamchezo kakupatia followers… Na nyie mnampa airtime ya kutosha…. So anaendelea… Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira… But nakaa tu kimya… This is too much now…!

A photo posted by wemasepetu (@wemasepetu) on

1 Comment
  1. JOJO says

    Wema utajifunza adabu

Leave A Reply