The House of Favourite Newspapers

Wema Sina Stress za Mapenzi Kwa Sasa

0

BAADA ya kuwa kwenye uhusiano wa siri kwa muda mrefu, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amesema kuwa kwa sasa ana amani ya isiyo na mfano na mpenzi wake.

 

Akibonga na Mikito Nusunusu, mrembo huyo amesema amekuwa akiumizwa na mapenzi kwa muda mrefu na kudanganywa lakini sasa hivi anamshukuru Mungu kumpata mwanaume ambaye anajua nini thamani ya mwanamke.

 

“Nisiwe muongo nina amani sana kwenye mapenzi yangu, unajua siku zote mimi nilikuwa natafuta mwanaume atakayenipenda kwa dhati na sio kunidanganyadanganya kama mtoto, sasa  nimempata, ananijali na kuniheshimu sana,” alisema Wema.  

STORI: MEMORISE RICHARD

Leave A Reply