The House of Favourite Newspapers
gunners X

Wenye Vikundi Wakumbukwa Na NMB Kupitia Akaunti Pamoja

0

BENKI ya NMB, jana Mei 26 imezindua rasmi akaunti ya NMB Pamoja, ambayo ni maalumu kwa ajili yakutoa mikopo kwa vikundi vya kuweka na kukopa nchini.

Uzinduzi huo ulifanyika Dar es Salaam na ulihudhuriwa na viongozi wa NMB pamoja na wateja ambao waliwakilisha wateja wengine.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna (kushoto) na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Ndogo na za Kati wa NMB – Filbert Mponzi (Kulia) wakiwa wameshika alama ya uzinduzi rasmi wa akaunti ya NMB Pamoja maalumu kwaajili ya vikundi vya kuweka na kukopa nchini katika uzinduzi uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mteja wa NMB Bi Zaina Mikidadi.

 

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna (kushoto) na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Ndogo na za Kati wa NMB – Filbert Mponzi (Kulia) wakiwa wameshika alama ya uzinduzi rasmi wa akaunti ya NMB Pamoja maalumu kwaajili ya vikundi vya kuweka na kukopa nchini katika uzinduzi uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mteja wa NMB Bi Zaina Mikidadi, wa Kwanza Kushoto ni Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB – Benedicto Baragomwa.

MWANAUME AFARIKI BAADA YA KUKANYAGWA NA ASKARI, VIDEO YALIZA WENGI, RAIS WACHARUKA…

 

Leave A Reply