The House of Favourite Newspapers

Weusi Kuja na ‘Ya Kulevya’…

Joh Makini msanii kutoka kundi la Weusi.

KUNDI la wanamuziki wa Bongo Fleva lenye asili ya kaskazini mwa Tanzania, Arusha, limeachia hewani wimbo mpya unaotambulika kwa jina la ‘Madaraka ya Kulevya’.

Aidha Kundi hilo linaloundwa na wasanii kama Joh Makini, Nikki wa Pili na G Nako limetoa wimbo huo kama kazi ya kushirikiana baada ya kila mmoja kutoka na kazi ya kujitegemea.

Salum Milongo/GPL

Comments are closed.