The House of Favourite Newspapers

Wikendi Ndiyo Hiyo Tusua Mapene na Meridianbet

0

Wikendi ndiyo hii sasa imefika yani ni kula mikeka tuu mwanzo mwisho ukiwa na Meridianbet ambapo kuanzia leo hii Ijumaa mpaka na kesho ni kujibweda tuu kwa ODDS KUBWA na machaguo mengi yanayozidi 1000. Ingia sasa na ucheze.

LALIGA kama kawaida inatarajiwa kupigwa ambapo leo hii kivumbi kitakuwa pale Guillermo Cuadra kwa Getafe ambaye atakiwasha dhidi ya Valencia huku timu zote zikiwa na pointi sawa yani 19. Kinachowatofautisha ni magoli ya kufunga na kufungwa huku mara ya mwisho kukutana mwenyeji alishinda. Leo ni nani kutofautisha pointi kati yao?. Beti sasa mechi hii kutoka kule Hispania.

Hapo leo saa 10:00 jioni Deportivo Alaves atamualika UD Las Palmas ambaye kapewa ODDS 4.01 meridianbet. Mwenyeji alitoa sare mechi iliyopita na mgeni alishinda mchezo uliopita. Beti yako unaiweka wapi kati ya tim hizi mbili?

Nao vinara wa ligi hiyo, Real Madrid watakuwa ugenini dhidi ya Real Betis Seville ambao wameshindwa kuchukua pointi tatu mchezo uliopita. Ushindi wa vijana wa Ancellotti ni ODDS 1.78 na mwenyeji akipewa 4.11. Mara ya mwisho kukutana, walitoa sare. Je kesho nani kuibuka mbabe? Ingia na ubashiri sasa.

Ukiendelea kubashiri michezo yako hiyo kumbuka kucheza JACKPOT kubwa kabisa ya Meridianbet ambayo inakuwezesha kupata shilingi Milioni Mia Mbili (200,000,000) kwa 1000 pekee ambapo utabashiri mechi zako 13 kwa usahihi. Ni rahisi sana ingia meridianbet ucheze sasa huku wale wa vitochi au USSD bonyeza *149*10#.

Ubabe mwingine utakuwa ni kati ya Villarreal dhidi ya Real Sociedad San Sebastian ambao wapo nafasi ya sita kwenye msimamo wa ligi. Nyambizi wa Njano wapo nafasi ya 12 na tofauti ya pointi kati yao ni 10. Mechi hii imepewa ODDS ya 3.38 kwa 2.11. Je nani kuondoka na ushindi hapo kesho.?

Lakini mechi ya usiku kabisa hapo kesho ni kati ya RCD Mallorca dhidi ya Sevilla huku timu hizi zikiwa hazipo kwenye nafasi nzuri sana kwenye msimamo wa ligi 2.65 kwa 2.69 ndiyo ODDS walizopewa timu hizo. Ingia ujue yupi kapewa kubwa zaidi na ubeti.

SERIE A leo hii itaendelea ambapo katika dimba la Turin majira ya 4:45 Juventus watakiwasha dhidi ya Napoli ambao wametoka kupoteza mchezo uliopita. Allegri na vijana wake wakishinda leo hii wanaongoza ligi. Nani kuondoka na pointi tatu leo?. ODDS KUBWA zipo mechi hii ingia na ubeti sasa.

Na hapo kesho mechi nyingine itakuwa ni kati ya Hellas Verona dhidi ya Lazio Rome ambaye kapewa Odds 1.96 kwa 3.92. Mara ya mwisho kukutana walitoa sare ya kufungana, huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni pointi 10 pekee. Mechi hii ina machaguo mengi ndani ya Meridianbet.

Majira ya saa 2:30 hapo kesho Atalanta ambao wametoka kupoteza mchezo uliopita, watakuwa wenyeji wa AC Milan ya Pioli ambao wapo nafasi ya tatu. Pale Meridianbet nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu amepewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 2.50 kwa 2.89. Je nani ni nani kesho? Suka mkeka wako hapa.

Mechi nyingine ya usiku kabisa itakuwa ni kati ya vinara wa ligi Inter Milano dhidi ya Udinese ambao wana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi wakiwa nafasi ya 12 baada ya kukusanya pointi zao 12. Inzaghi na vijana wake wanahitaji ushindi hapo kesho wazidi kujiimarisha kileleni. Mechi hii ina ODDS 1.27 kwa 9.80. Ingia na ubashiri sasa.

EPL sasa ni nomaa sana yani mapema tuu vijana wa Jurgen Klopp Liverpool watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Crystal Palace ambao wametoka kuchipika mchezo wao uliopita. Palace wapo nafasi ya 14 huku wakipewa ODDS 5.88 kushinda hapo kesho huku Jogoo akipewa 1.49 na ushindi wake utamfanya aongoze ligi. Beti mechi hii sasa.

Huku saa 12:00 jioni, vijana wa Erik Ten Hag Manchester United watakuwa Old Trfford kucheza dhidi ya AFC Bournemouth baada ya kushinda mchezo uliopita. ODDS ya United ni 1.55 kwa 5.29. Kumbukumbu ya mgeni ni kwamba msimu uliopita alichapika mechi zote mbili. Je anaweza kulipa kisasi mbele ya Mashetani Wekundu? Meridianbet wamekuwekea machaguo mengi sana mechi hii.

Huku siku hiyo ya kesho mechi ya kibabe itakuwa pale Villa Park ambapo Aston Villa baada ya kumkanda bingwa mtetezi watakkipiga dhidi ya Arsenal ya Arteta. The Gunners wamepewa Odds 2.06 kwa 3.33, huku msimu uliopita Arteta aliondoka na pointi zote sita kwenye mechi mbili walizokutana. Sasa Unai atakubali kupasuka akiwa nyumbani kesho?

Bila kusahau ile ligi ya Ufaransa LIGUE 1 itaendelea pia wikendi ambapo leo hii Montpellier atamkuwa mwenyeji wa RC Lens ambao wana ODDS 2.11 kwa 3.38. Mwenyeji alipoteza mchezo wake uliopita na mara ya mwisho kuonana walitoshana nguvu.

Na hapo kesho saa 1:00 Stade Rennes atakichapa dhidi ya Monaco ambao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo. Mwenyeji yupo nafasi ya 12 na tofauti ya pointi kati yao ni 12. Unadhani nani kuibuka kidedea hapa?

Kesho kule jijini Paris kutakamilishwa na mechi ya bingwa mtetezi PSG dhidi ya FC Nantes ambao wamepewa ODDS 11.76 huku vijana wa Enrique wakipewa ODDS 1.20. Mara ya mwisho walipokutana Mbappe na wenzake walipata ushindi. Bashiri mechi sasa.

Pia ligi ya Ujerumani BUNDESLIGA itapigwa wikendi hii ambapo leo hii mchezo wa kufungua Wikendi hii utakuwa ni kati ya Hoffenheim dhidi ya Bochum. Mwenyeji alipoteza mechi iliyopita huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 7. Je nani kufurahi mwisho wa mchezo?. Beti kijanja hapa.

Nao Werder Bremen ambao wapo nafasi ya 13 na pointi zao 11,  watamkaribisha FC Augsburg ambao wapo nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi na pointi zao 17, huku nafasi ya kushinda mchezo huu akipewa mwenyeji na ODDS 2.35 kwa 2.74. Mara ya mwisho kukutana mgeni alishinda. Pia mechi hii ina machaguo mengi sana bashiri hapa.

VFL Wolfsburg watakuwa na kibarua kizito cha kumkabili SC Freiburg ambao wametoka kupata ushindi mechi yake iliyopita huku pia akiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wake uliopita. ODDS ya 3.04 ndio aliyopewa mgeni kushinda mchezo huu huku mwenyeji akipewa 2.25. Suka mkeka wako sasa.

Bayern Munich chini ya kocha mkuu Thomas Tuchel naye atakuwa dimbani lakini ugenini kukiwasha dhidi ya Eintracht Frankfurt  ambaye kapoteza michezo mitatu kwenye ligi hadi sasa. Mara ya mwihso walipokutana walitoa sare. Je hapo kesho nani kuondoka na pointi 3?

Saa 2:30 katika dimba la Signal Iduna Park Dortmund atacheza dhidi ya RB Leipzig huku wote wakipewa ODDS 2.50 kwani kwenye msimamo wanafuatana na tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee. Weka mkeka wako na meridianbet sasa.

Leave A Reply