Wimbo Mpya: Blandina Godfrey – Niwe Nawe Yesu (Official Audio)
Share
Mwimbaji wa nyimbo za kusifu na kuabudu, BLANDINA GEOFREY ameachia wimbo wake mpya uitwao NIWE NAWE YESU ambapo anasema kuna umuhimu mkubwa sana wa Mwenyezi Mungu kuwa pamoja nasi, na ili hukamilika zaidi mara tu tunapoamini na kukiri kuwa Yesu Kristo ni mwokozi wa maisha yetu. Mungu akiweka makazi ndani ya mtu mambo yote huwa shwari.
Afya, Amani, Baraka, Imani, Utakatifu, Mienendo bora na mambo yote mazuri hufuata nyuma, hata wakati wa kujaribiwa upo uwezekano kwa asilimia mia moja wa mtu huyo kushinda jaribu pasipo kutumia nguvu kubwa.
“Ombi langu kwa MUNGU aweke makazi ndani yetu na hii ni kwako wewe utakaesikiliza wimbo huu, kwangu, na kwa watu wote. MUNGU akubariki sana.”
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
Comments are closed.