Wimbo Mpya: Kutoka kwa Lulu Diva Unaitwa ‘Utamu’

MWANADADA anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Bongo Fleva na wimbo wake wa Usimwache, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ameachia ngoma mpya ya Utamu wiki hii, Unaweza kuchukua dakika 3:39 kuisilikiliza  na pia unaweza kuniachia maoni yako hapo chini kwenye comment ili LuluDiva akisoma ajue umeipokea vipi hii.

Loading...

Toa comment