The House of Favourite Newspapers

WIMBO MPYA: ROSTAM – PARAPANDA | OFFICIAL AUDIO

KUNDI la Hip Hopm linaoundwa na wakali wawili wa kuchana, Roma Mkatoliki na Stamina ‘ROSTAM’ wameachia audio ya wimbo wao mpya uitwao PARAPANDA.

 

Ndani ya ngoma hiyo Roma amejivisha uhusika kama hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Stamina kama Hayati Mzee Kingunge Ngombaremwiru, wasanii hao wanasikika wakichana kwa kujibizana kuhusu hali ya siasa, uchumi na maisha kwa ujumla hapa nchini.

Ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC

Comments are closed.