The House of Favourite Newspapers

Wimbo Mpya wa Fid Q ft. Saida Karoli – Kiberiti, Yumo Bashite na Gwajima

MKALI wa Rap, Farid Kubanda ‘Fid Q’ au Ngosha The Don ameachia ngoma yake mpya yenye jina la Kiberiti ambayo amemshirikisha msanii wa nyimbo za mahadhi ya asili, Saida Karoli. Wimbo huo wenye dakika 7 ameelezea mambo mengi yanayohusu maisha ya mwananchi wa kawaida.

Kutazama video hiyo, Ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC

 

Comments are closed.