Wimbo Mpya wa Papii Kocha – Waambie (Official Video)
MWANAMUZIKI Johnson Nguza maarufu kama Papii Kocha ameachia video ya ngoma yake mpya na ya kwanza tangu atoke gerezani kwa msamaha wa Rais Dkt. John Magufuli.
Ngoma hiyo aliyoimba na baba yake, mzee Nguza Vicking (Babu Seya) ameipa jina la Waambie ambayo imeandikwa na Natasha wa THT huku audio imetengenezwa na Ema The Boy na video kuandaliwa na Director Destro wa Studio za Wanene.
Comments are closed.