The House of Favourite Newspapers

Ngoma Mpya ya Papii Kocha – Waambie (Official Video)

MWANAMUZIKI Johnson Nguza maarufu kama Papii Kocha ameachia video ya ngoma yake mpya na ya kwanza tangu atoke gerezani kwa msamaha wa Rais Dkt. John Magufuli.

  • Global Publishers App imekurahisishia sana jinsi ya kuitazama video hii.
  • Jinsi ya kuitazama, Install app ya Global Publishers, kisha ingia kwenye menu ya Global Music ujionee ngoma hii na ku-download….!!
  • Install  kupitia Android: ==>  au iOS: ==> 

Comments are closed.