Wiz Khalifa, Juicy J & TM88 “Medication” (WSHH Exclusive – Official Music Video)

Rapa Wiz Khalifa, Juicy J, na  TM88 wameachiavideo ya wimbo wao mpya wa  “Medication.” Wakiwa wamevalia mavazi yenye rangi ya pinki huku mwanga wa rangi ya zambarau ukimulika, Wiz na Juice Man wanaonekana wakiwa pharmacy huku ma-modo wa video hiyo wakivalia na ku-act kama manesi waliobeba vifaa vya uuguzi.

Video hiyo yenye ubunifu wa hali ya juu ipo hapa chini, icheki mwenyewe.

 

Wiz Khalifa, Juicy J & TM88 “Medication” (WSHH Exclusive – Official Music Video)


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment