The House of Favourite Newspapers

Wizara ya Afya, WHO Kutokomeza Magonjwa ya Mlipuko

Baadhi ya wadau wa afya wakifuatilia mkutano huo uliofanyika katika Hoteli ya White Sands Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wa afya wakiendelea kufuatilia mkutano huo.
Mmoja wa viongozi wa afya akizungumza katika mkutano huo.
Mkutano ukiendelea katika hoteli hiyo.
Wadau wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa.

Hafla ya mkutano huo ikiendelea.

Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Ufatiliaji na Udhibiti, Dkt Janet Mghamba, amezungumzia juu ya magonjwa ya mlipuko nchini na namna ambavyo Wizara ya Afya Nchini kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) walivyojipanga kukabiliana nayo.

Comments are closed.