The House of Favourite Newspapers

Wizkid Akutana na Domenico Dolce, Campbell na Tempah huko Milan

MWANAMUZIKI Wizkid wa Nigeria juzi alikutana na mastaa Naomi Campbell mwanamitindo wa Uingereza, na rapa Tinie Tempah wa Uingereza kwenye  ‘Shoo ya Siri’ ya mavazi iliyotayarishwa na mtaalam wa mitindo,Domenico Dolce, wa kampuni ya Dolce & Gabbana huko Milan nchini Italia.

Wizkid (kushoto) akiwa na  Naomi Campbell na Tinie Tempah.

Wkiwa katika pozi jingine.

Wakiwa na Domenico Dolce (kushoto) mmiliki wa kampuni la Dolce & Gabbana.

Comments are closed.