#GlobalMusic: Wizkid Feat. Drake ‘Come Closer’ – (Official Audio Release)

Baada ya kuikamata dunia na single ya ‘One Dance’, Wizkid na Drake wamerudi tena  na nyingine mpya this time Drake akiwa ameshirikishwa na Wizkid.

Wizkid na Drake wamerudi na ‘Come Closer’ Afropop anthem mpya ambayo ahapo awali ilikuwa inaitwa ‘Hush Up the silence’.

Came into the game, no one replace me. Me love my Hennessy straight with no chaser / All of my guys know me all about me paper / Me got me girls all around me, me no chase her / Starboy, call me number one / When me tune drop, the girls, they bounce along.” – Wizkid anaimba huku Drake akidakia: “ Too mix up in drama to go outside. Too mix up in drama to free my mind / Jealous people around me, I need to change my life / I just turn colder every time I try.

‘Come Closer’ ni official version ya ‘Hush Up The Silence’ ngoma iliyovuja mwanzoni mwa mwaka huu wa 2017 na kwa mujibu wa mtandao wa RapUp ‘Come Closer’ ndio single itakayofungua playlist ya Album ya tatu ya Wizkid ‘Sounds From The  Other Side’.

Isikilize ‘Come Closer’ Feat. Drake hapa chini.

 

Imeandikwa Na: Sandra Brown.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine kali zikufikie kwa wakati.

 

Loading...

Toa comment