#GlobalMusic: WizKid ‘Come Closer’ feat. Drake – (Official Music Video)

Wizkid na Drake wamerudi na video ya collabo yao mpya ‘Come Closer’.

Baada ya kufanya kazi pamoja kwenye collabo ya wimbo wa ‘One Dance’ Wizkid na Drake wamerudi tena kwenye playlist zetu na video ya wimbo wao mpya ‘Come Closer’ ambao hapo awali ulikuwa unaitwa  ‘Hush Up The Silence’.

Came into the game no one replace me, me love mine and she strip me no chaser, I love me guys all know me about me paper, starboy call me number one, me number one for me city, i stay representing for me city… yeaah,yeaah, yeah, yeaaah,  baby come closer…” – Wizkid anaimba, Drake anafutia: To mix up and drama and go outside, To mix up and drama to free my mind, jealous people around me I need to change my life, I just turned colder everytime I try, What would I do without you my chaji…“. 

Licha ya Drake kushikikishwa kwenye wimbo huu, rapper huyo kutoka Toronto, Canada hajaonekana kwenye videoIsikilize yote kwenye hizi dakika tatu hapa chini.

WIZKID – ‘COME CLOSER‘ FEAT. DRAKE

Video Director/ DAPS.

Imeandikwa Na: Sandra Brown.

Video: YouTube/ WizkidVevo.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine kali zikufikie kwa wakati.


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment