Wolper akiri kudanga

WAKATI mastaa mbalimbali wa kike wakidaiwa kudanga kwa wanaume tofauti, mwigizaji Jacqueline Wolper amefunguka kuwa hata yeye amewahi kufanya hivyo, lakini kwa staili ya tofauti.  Akistorisha na Gazeti la Ijumaa, Wolper alisema amewahi kudanga kwa kuwa na mwanume mwenye fedha, lakini siyo kwa maana kuwa na wanaume wengi tofautitofauti kwa ajili ya kujipatia kipato.

“Nimewahi kudanga, kwa kawaida kudanga ninavyoijua na nivyoielewa maana yake ni kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwenye pesa, hiyo maana nyingine ya kuwa na wanaume wengi siijui.”


Loading...

Toa comment