The House of Favourite Newspapers

WOLPER AMWAGA MATUSI KISA MUNA

Jacqueline Wolper

MUIGIZAJI mwenye jina kubwa Bongo, Jacqueline Wolper ‘Wolper’ ameshindwa kujizuia na kujikuta akiporomosha matusi baada ya kuulizwa anazungumziaje sakati la Muna kumkataa mwanaye.  Akipiga stori na Risasi Vibes, Wol-per alis-ema kuwa, sakata hilo ameliona likivuma zaidi kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram na anashangazwa na watu kupenda kushadadia mambo ya familia za watu ambayo hayawahusu.

“Watu wa Instagram ni washenzi na hawajielewi, tena ni wapuuzi na wapumbavu. Kazi kufuatilia maisha ya watu tu, kwa nini wasimuache Muna mambo yake na familia yake, kila mtu abebe msalaba wake!” Alisema Wolper.

BONIPHACE NGUMIJE

Comments are closed.