Wolper Aongea Kwa Uchungu Msibani – Ombeni Alikuwa Mtu Wa Mungu… – Video
Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Jacqueline Wolper amehudhuria mazishi ya marehemu Ombeni Phiri ambapo amesema watu wakipata nafasi wajifunze kuhudharia misibani na kuongeza kuwa mtu yeyote anaweza kutangulia kwa mungu wakati wowote.