Wolper Azua Timbwili Kisa Jero, Tazama Tukio Zima – Video

Kila kukicha mjini hakuishi mambo, unaweza kusema hivyo! unaweza kuamini kuwa staa anaweza kuanzisha songombingo kisa shilingi 500 `Jero`?!!!!!!

Sakata liko hivi; Msanii wa Filamu za Bongo, Jacqueline Wolper almaarufu kama Wolper Stylish hivi karibuni alizua timbwili la aina yake baada ya kugoma kulipa `Jero` ya maegesho ya gari.

 

Ilikuwaje? Tazama Hapa

Toa comment