Wolper, Harmonize na Sarah Wakutana Usiku Mnene!

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper (anayeonekana mgongo), akifika katika viwanja The Life Club, Mwenge,  jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo kusherehekea siku yake ya kuzaliwa akitumia baskeli ya aina yake.

…Akiongea na wanahabari.

…Akiwekewa kinywaji na mlinzi wake kwenye glasi.

Staa wa muziki wa Bongo Fleva kutoka labo ya WCB, Harmonize,  akiongea na wanahabari akiwa na mpenzi wake   Sarah.

Sarah akifanya mahojiano.

Mkali wa miondoko ya Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’,  akiwasili hapo na mpenzi wake, Ashiraf Uchebe.

Staa wa Bongo Fleva, Gigy Money, akihojiwa.

STAA wa filamu NVHINI, Jacqueline Wolper, usiku wa kuamkia leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Life Club Mwenge ambapo sherehe ilinogeshwa zaidi na uwepo wa aliyekuwa mpenzi wake Harmonize ambaye aliweka wazi mahusiano yake na mrembo huyo kuwa hakuna kitu kingine zaidi ya urafiki.

Mastaa wengine waliofika katika katika ukumbi huo ni Lavalava, Shilole, Esma Platnumz na wengine wengi.

 

PICHA NA MUDA MATEJA | GPL

Toa comment