The House of Favourite Newspapers

WOLPER: NISHA HANA VIGEZO VYA KUTEMBEA NA BROWN – VIDEO

STAA wa Bongo Movie, Jackline Wolper amepinga kwa nguvu zote stori zinazosambaa mitandaoni kuwa X-wake ambaye ni mwanamitindo, Brown ana uhusiano wa kimapenzi na muigizaji mwenziye, Salma Jabu ‘Nisha’.

 

Wolper amesema Nisha ni mchekeshaji hivyo haamini kabisa kama anaweza kutoka na mwanamitindo huyo na pia anazijua taype za wanawake wanaoweza kutembea na Brown haifanani kabisa na Nisha.

 

Aidha, amesema Project yao mpya ya kijana amka itawasaidia vijana wengi waliokata tamaa ili waweze kuamka na kujikwamua kimaisha kupitia vipaji vyao hata kama ni vipaji vya wanavyodharaulika.

VIDEO: MSIKIE WOLPER AKIFUNGUKA

Comments are closed.