Wolper: Uzuri ungekuwa sura ningeshaolewa

STAA wa filamu Bongo,Jacquline Wolper ameamua kutoa la moyoni na kusema kuwa kama uzuri ndiyo ungekuwa ni sura na kumfanya mtu  aolewe basi hata yeye tayari angekuwa mke wa mtu. Akipiga papaso na Za Motomoto ya Risasi, Wolper alisema kuwa wasichana wengi wazuri wanajiona ndiyo wamemaliza na kusahau uzuri ni tabia.

“Unakuta msichana mrembo sana lakini amechina nyumbani kwa sababu hana sifa za kuwa mke wa mtu kwa hiyo wasichana warembo wajikague tena tusije tukazeeka pekee yetu,” alisema Wolper

STORI: IMELDA MTEMA
Toa comment