Yaliyomo katika Gazeti la Uwazi Novemba 24, 2015
KIGOGO WA MADEREVA AMEUAWA KWA SUMU!
-Ni Rashid Saleh aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu na Msemaji wa Chama cha Madereva Tanzania (Tadwu)
-Mke asimulia kila kitu, aitaja kauli ya mwisho ya marehemu, madereva roho mkononi
-Unataka kujua A to Z kuhusu kifo hiki cha kusikitisha?
SHEIKH AOMBA RAIS MAGUFULI AONGEZEWE ULINZI!
-Unataka kujua ni Sheikh gani huyo?
-Je, kwa nini ameomba Mhe. Rais Magufuli aongezewe ulinzi?
SIMULIZI YA WALIOSHI ARDHINI SIKU 41 INASIKITISHA
-Mmoja afariki dunia, mazito zaidi yaibuka
MTOTO AJIFUNGUA MAPACHA WALIOUNGANA
-Ana miaka 17
-Asimulia machungu yake
-Unajua ni wapi huko?