Yaliyomo kwenye Gazeti la Amani, Alhamisi hii
LULU KUMRITHI ZARI KWA DIAMOND
-Ni baada ya familia ya Diamond kukubali
-Lulu amsingizia Wema
-Diamond naye afunguka
-Unajua kisa ni nini?
TB JOSHUA ASHINDWA KULALA NIGERIA MAGUFULI AKIAPISHWA
-Atua Bongo na wasaidizi 40
-Atoa neno zito kwa Watanzania
AUNT AAPA; WEMA ATANIONA KWENYE KIFO
-Unajua chanzo cha kunena hayo?
-Mazito yaibuka, ni yapi hayo?
PENZI LA RAY, CHUCHU CHALIIIIII!
-Johari meno 32 njeee
-Chuchu anena mazito na Gazeti la AMANI
-Unajua chanzo cha kuvunjika kwa penzi hilo?
Kujua undani wa habari hizi na mengine mengi, Usikose kusoma Gazeti la AMANI, Alhamisi hii.


