Yaliyomo kwenye Gazeti la Uwazi, Jumanne hii
Unyama wakutisha wafanyika Dar!!
-Mke wa Mtu atembezwa mtupu mitaani, apigwa mawe, achomwa moto
-Ni Baada ya mumewe kuuawa kikatili
Polisi auawa akimwokoa bintiye
-Ni kisa cha kusikitisha
-Unataka kufahamu ilikuwaje?
Kifo cha Mtikila chatikisa upya
-Mapya yaibuka tena
-Polisi yapewa mwezi mmoja kutoa majibu
Njemba alipukiwa antena
-Akatwa mkono
-Unataka kujua kisa kamili?
Kupata undani wa haya na mengine mengi, usikose kusoma Gazeti la UWAZI, Jumanne hii.