The House of Favourite Newspapers

Yamoto & Mashauzi wapagawasha Mango Garden

0

1Mwimbaji wa Yamoto Band, Maromboso, akiimba na mashabiki jukwaani.

2Kiongozi wa Yamoto Band, Asley, akiimba kwa hisia kali.

3Mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Mashauzi, akiimba.

4Wacheza shoo wa Mashauzi Classic wakicheza kwa staili ya pekee.

5Mwimbaji wa Yamoto, Beka One Fleva, akiimba huku mmoja wa mashabiki waliojitokeza akicheza.

6Baadhi ya mashabiki wakicheza wakati Yamoto ikitumbuiza.

7Mcheza shoo wa Yamoto, Chiba, akipanda jukwaani.

8Enock Bella akimpatia ujumbe kwa njia ya kuimba mmoja wa mashabiki.

9Yamoto kazini.

10Mmoja wa mashabiki akionyesha hali ya kuhamasika kupita wenzake.

KUNDI la Yamoto Band na Mashauzi Classic usiku wa kuamkia leo wamepagawisha vilivyo ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.

Makamuzi hayo yaliyokuwa na msisimko mkubwa kutoka kwa mashabiki mbalimbali waliojitokeza yalikuwa ya aina yake kwani bendi hizo ziliweza kufanya shoo ya nguvu iliyowatendea haki karibia mashabiki wote waliojitokeza kwenye ukumbi huo.

Leave A Reply