Yanga SC yatangaza kocha mpya
Klabu ya Yanga imemtangaza raia wa Ujerumani, Sead Ramović kuwa kocha mkuu wa timu hiyo baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha kwa klabu hiyo, Miguel Gamondi
Ramovic alikuwa kocha mkuu wa klabu ya TS Galaxy ya Afrika Kusini kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2024.