Yanga Vs Simba: Hali Ilivyo Nje Ya Uwanja Wa Amaan, Mashabiki Wafurika -Video


TAYARI ipo wazi kwa sasa fainali ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, Uwanja wa Amaan ni kati ya watani wa jadi, Simba na Yanga.

 

Kwa kiasi fulani mashindano ya msimu huu wa 2021 yamekuwa na ushindani mkubwa kwa timu ambazo zilikuwa zinashiriki.

Tunaona kwamba kila timu ndani ya dakika 90 ilikua inapambana kusaka ushindi. Hili ni jambo ambalo linahitaji pongezi kwa washiriki wote ambao wameweza kuishia njiani kwenye mashindano haya. ⚫️

 

Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Toa comment