The House of Favourite Newspapers

Yanga Vs Simba Nusu Fainali Mapinduzi Cup, Bashiri Mshindi Uibuke na Zawadi

simba-na-yanga
HISTORIA nyingine kwenye mchezo wa soka inatarajiwa kuandikwa leo kwenye mchezo wa nusu fainali inayosubiriwa kwa hamu kubwa katika Kombe la Mapinduzi ambayo inawakutanisha watani wa jadi, Simba Sc na Yanga Sc.
Mechi inachezwa saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.
Sio rahisi kufahamu nani ataibuka na ushindi na kutinga fainali. Naomba nikupe fursa ya wewe kutoa maoni yako, uchambuzi wa kispoti kuhusu game hii ya kihistoria kwa miamba hawa.
Bashiri Mshindi wa Mechi ya Leo Kati ya Simba na Yanga Uibuke na Zawadi Kutoka Hapa Hapa Global Publishers

Comments are closed.