The House of Favourite Newspapers

Yanga Wana Hesabu na Simba

0

NAHODHA wa Yanga, Lamine Moro amefunguka kuwa, wanaodhani Yanga hawatachukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, hawapo sahihi kwani akili za nyota wote wa kikosi hicho ni kuivua ubingwa Simba.

 

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Lamine alisema: “Wanaodhani kuwa sisi tumekata tamaa na ub-ingwa, wanakosea sana kwa sababu wachezaji wote hapa mawazo yapo kwenye ubingwa.

 

 

“Nimekuwa nikiona huko mitandaoni watu wakizun-gumza vibaya kuhusu timu na wanafi kiri sisi tumekata tamaa, niwaambie kwenye maisha hakuna kukata tamaa, tutapambana hadi mwisho kuwania ubingwa wa msimu,” alisema Lamine na kuongeza.

 

 

“Tangu nimefi ka Tanza-nia sijawahi kuona mechi rahisi hasa kwa Yanga, ush-indani huo umekuwa ukitu-fanya nasi tuzidi kuongeza juhudi ili kufi kia malengo.

ISSA LIPONDA NA LUNYAMADZO MLYUKA

Leave A Reply