Kartra

Yanga Wazindua Wiki Ya Wananchi Zanzibar -(Picha + Video)

Viongozi wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Habari na Hamasa QS. Suma Mwaitenda, Wajumbe wengine wa Kamati ya Utendaji Mhe. Saad Kimji na Harun Batenga. Pia Mshauri Mkuu wa Klabu Bw. Senzo Mbatha wakiwa katika mjumuiko na Wanachama, Washabiki na Wapenzi wa Yanga leo katika uzinduzi wa Wiki ya wananchi Zanzibar.

Klabu ya Yanga leo Agosti 22, 2021 wamezindua Wiki ya Mwananchi visiwani Zanzibar ambapo kilele chake kitakuwa Agosti 29, jijini Dar es Salaam.


Toa comment