YANGA YAIFUNGA ALLIANCE BAO 3-0, TAIFA
TIMU ya Yanga wameibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Alliance leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar. Mabao ya Yanga yamefungwa na Heritier Makambo, Mrisho Khalfan Ngassa na Ibrahim Ajibu.
Yanga wamefikisha pointi 19 na kutinga katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi.
PICHA NA MUSA MATEJA | GPL
Comments are closed.