The House of Favourite Newspapers
gunners X

Yanga Yaijibu SportPesa Kuendelea Kuvaa Jezi Zenye Mdhamini mpya Haier Kombe la Shirikisho

0
Rais wa Yanga Eng.Hersi Said.

Baada ya uongozi wa SportPesa kutoa taarifa ya kusikitishwa kuhusu uongozi wa Yanga kukiuka taratibu za kuweka jina la mdhamini mbele ya jezi, Yanga imetolea ufafanuzi suala hilo na kueleza kuwa taratibu zilifuatwa na wataendelea kuvaa jezi zenye mdhamini mpya Haier katika mechi za Kombe la Shirikisho Afrika.

Leave A Reply