The House of Favourite Newspapers

Yanga Yamtambulisha Raia wa Bosnia Kuwa Kocha wa Viungo

0

Klabu ya Yanga Sc imetambulisha Adnan Behlulović raia wa Bosnia kuwa kocha wa viungo ambaye anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wa klabu hiyo.

 

Leave A Reply