The House of Favourite Newspapers

Yanga Yapangwa Kundi A, Yapewa USM Alger, TP Mazembe… Makundi Yapo Hapa

Klabu ya Yanga imepangwa na Kundi A katika mashindano ya Klabu Bingwa ambapo imepangwa kundi moja na Al Hilal ya Sudan, USM Alger ya Algeria pamoja na TP Mazembe ya nchini DRC Congo.

Droo ya kupanga makundi hayo, imefanyika leo, Oktoba 7, 2024 jijini Cairo, Misri.

Makundi ya Klabu Bingwa Africa 2024/2025 (Caf Champions League Groups)

Kundi A:

TP Mazembe (DR Congo)
Yanga (Tanzania)
Al Hilal SC (Sudan)
MC Alger (Algeria)

Kundi B:

Mamelodi Sundowns (South Africa)
Raja Club Athletic (Morocco)
AS FAR (Morocco)
AS Maniema Union (DR Congo)

Kundi C:

Al Ahly SC (Egypt)
CR Belouizdad (Algeria)
Orlando Pirates (South Africa)
Stade d’Abidjan (Ivory Coast)

Kundi D:

ES Tunis (Tunisia)
Pyramids FC (Egypt)
GD Sagrada Esperance (Angola)
Djoliba AC (Mali)

BONI YAI AFUNGUKA MAZITO NJEE YA MAHAKAMA – AZUNGUMZA YOTE YALIOTOKEA SIKU ALIOKAMTWA…