The House of Favourite Newspapers

Yanga Yapokelewa Kifalme Kigoma – (Picha +Video)

0

Kikosi cha Yanga kimetua salama Kigoma leo Julai 22, 2021 tayari kwa maandalizi ya mchezo wao wa fainali ya  Kombe la Shirikisho la Azam utakaochezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika Jumapili hii dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Simba.

Timu haya hiyo imepokelewa na mashabiki kutoka katika Uwanja wa ndege wa Kigoma na kuisindikiza barabarani kwa shangwe na Vigelegele.

 

 

Leave A Reply