Yanga Yashinda dhidi ya Mtibwa Bao 1-0
FULL TIME: Pointi tatu zinakwenda Jangwani, ukiwa ni ushindi wa kwanza baada ya kuukosa katika mechi tatu zilizopita. Nyota kutoka Angola, Carlinhos amefunga bao pekee lililowazamisha Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, jijini Dar es Salaam.