The House of Favourite Newspapers

Yanga Yashindwa Kufurukuta kwa TP Mazembe, Yachapwa 1-0

0

YANGA VS TP MAZEMBE (1) YANGA VS TP MAZEMBE (3) YANGA VS TP MAZEMBE (4) YANGA VS TP MAZEMBE (5) YANGA VS TP MAZEMBE (6) YANGA VS TP MAZEMBE (7) YANGA VS TP MAZEMBE (8) YANGA VS TP MAZEMBE (9) YANGA VS TP MAZEMBE (10) YANGA VS TP MAZEMBE (11) YANGA VS TP MAZEMBE (12)

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa katika ngazi ya klabu, Yanga leo wameshindwa kufurukuta mbele ya TP Mazembe baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kwenye mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Mbali na kucheza soka safi na mashabiki kushuhudia mechi hiyo bila kulipa viingilio, Yanga wamemaliza dakika 90 nyuma kwa bao 1 lililofungwa dakika ya 74 ya kipindi cha pili kwenye mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Hayo ni matokeo mabaya kwa Yanga walioanza vibaya mchezo wao wa kwanza kwani ilipoteza mbele ya wenyeji Mo Bejaia ya Algeria kwa bao 1-0.

Leave A Reply