September 10, 2019 by Global Publishers
Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Dkt. Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji wa Yanga, ameteua Kamati ya Kudumu ya Hamasa yenye wajumbe 21.