Kartra

Yanga Yawashukuru Mashabiki Kipigo cha Simba

Uongozi wa Yanga, umewashukuru mashabiki wao kwa ushirikiano waliouto wakati wa mkutano mkuu na mchezo wao dhidi ya watani zao Simba, uliomalizika kwa Simba kupigwa 1-0.


Toa comment