New: Yemi Alade x Mi Casa: “Get Through This” – (Video)

Music diva kutoka Nigeria, Yemi Alade anarudi kuziteka playlists za mwaka 2017 kwa ushirikiano na kundi la muziki, Mi Casa wakali kutoka South Africa.

Yemi Alade na Mi Casa wanaisogeza kwetu official music video ya “Get Through This”. Producer wa wimbo huu ni Maleek Berry msanii kutoka Nigeria ambaye kwa mwaka 2016, alitamba na kichipa cha ‘Kontrol’ kwenye playlists mbalimbali za TV na Radio barani Africa.

Music director wa kichupa hiki ni Justin Campos and iCandi Cam kutoka South Africa.

Bonyeza play hapa chini kucheki “Get Through This”.

Subscribe kwenye YouTube chanel yetu iliuwe wa kwanza kuzipata updates na stori zote za masataa, burudani na mengineyo kwa wakati. Au bonyeza hapa ikupeleke moja kwa moja.

Loading...

Toa comment