Yemi Alade – Tumbum (Official Video)

MSHINDI wa Tuzo za MTVMAMA2016 na MTVMAMA2015 kipengele cha Best Female Act, Yemi Alade ameachia video ya wimbo wake mpya uliotengenezwa na Selebobo unaoitwa Tumbum. Wimbo huo ni miongoni mwa zile kali zilizomo kwenye albamu yake mpya ya Mama Africa: The Diary of an African Woman.

Toa comment