The House of Favourite Newspapers

Yote haya utayapata kwenye Gazeti la Ijumaa

0

LULUModo hamisa Mobeto alia… Lulu kanipora bwana!

==>Ijumaa lapenyezewa siri

==>Lulu abanwa anena

==>Hamisa afunguka mazito

==>Je unataka kumjua bwana mwenyewe, kilichotokea je?

Suala la Mguu wake… Mama Samia amuokoa Wastara

==>Unataka kujua imekuaje?

Wanamuziki walio kwenye hot Couple Bongo!

==>Unataka kuwajua wasanii hao?

Aibu kubwa…

==>Njemba abambwa akibaka nguruwe.

==>Unataka kujua ilikuwaje, nini kilimtokea baada ya kubambwa?

Kisa cd ya filamu…

==>Achomwa kisu

==>Afariki dunia

==>Muuaji aingia mitini

==>Unataka kufahamu kisa kamili kilikuwaje?

Baada ya kumfumania….

==>Bella, msanii wanaswa na misokoto hotelini

==>Walichokuwa wakifanya ni aibu tupu

==>Unataka kumfahamu msanii huyo, nini walichokuwa wakifanya wakati waliponaswa?

Yote haya na mengine mengi utayapata kwenye Gazeti la IJUMAA.

Leave A Reply